SDS ni mfumo wa kimtandao wa kuendesha,kudhibiti na kutunza taarifa na miamala ya SACCOS.
SDS ni mfumo rafiki, salama na unaofanya kazi kwa wepesi wa namna ya kipekee katika kufanya miamala na Kuzalisha taarifa za kiuhasibu za SACCOS ya aina yoyote na taasisi zingine za kifedha (Microfinance).
SDS ni mfumo imara unaozingatia uwazi,usahihi wa taarifa, huduma bora kwa mtumiaji na kutoa taarifa ya papo kwa papo
Zifuatazo ni baadhi ya shughuli zinazofanywa na SDS
Kudhibiti usajili wa Mwanachama
Kukokotoa na Kudhibiti Maombi ya Mikopo
Kuzalisha na Kudhibiti Mtiririko wa Marejesho ya Mkopo
Kudhibiti Adhabu kwa marejesho yaliyocheleweshwa
Kudhibiti miamala inayofanywa
Kuzalisha Taarifa Mbali Mbali za Kiuhasibu kama vile Leja mbali mbali, Mizania, urari,Mtirirko wa Fedha,Majedwali ya Wanachama n.k
Kudhibiti mawasiliano ya wanachama
Kudhibiti Mali za chama
Tafadhali ingiza namba yako ya uanachama (au namba ya kompyuta au Namba ya simu au barua pepe) na nywila yako
JSP Page
Fomu ya Maombi ya Kujiunga na SACCOS
Taarifa zenye alama ya (*) LAZIMA ZIJAZWE
Taarifa zenye alama ya (*) LAZIMA ZIJAZWE
SDS - Job Form
Kufuatilia maombi yako ya kujiunga uanachama, jaza taarifa husika hapa chini